maxpaul02
Gigy Money Amemtolea Povu Rado
Gigy M oney Amemtolea Povu Rado/Msanii Gigy Money amemtolea povu muigizaji wa filamu wa bongo Rado, ambaye wiki iliyopita alisikika akisema wasanii wa kike wa bongo fleva hawana vigezo vya kuolewa, na kusema kwamba ndoa siku hizi haina dili kwani wanawake wanajioa wenyewe.
載入新的回覆